Jifunze Lugha ya kingereza

🌍 VISIONARY ADULTS ENGLISH COURSE (VAEC)

Karibu kwenye safari ya kubadilisha maisha yako!

Usikubali lugha iwe kikwazo cha mafanikio yako.
Jifunze Kiingereza kwa njia rahisi, ya kisasa na inayokupa matokeo ya kweli — popote ulipo na kwa muda unaoutaka!

Kwa nini uchague VAEC?

✅ Mafunzo yote ni online — jifunze ukiwa mahali popote
✅ Mwalimu binafsi atakayekupa mwongozo hatua kwa hatua
✅ Ratiba rahisi: jifunze kwa muda unaokufaa
✅ Mfumo wa kisasa unaokuwezesha kuelewa kwa haraka
✅ Mabadiliko ya kweli katika ujasiri, matamshi, na ufasaha

Utakachojifunza:

• Kuongea Kiingereza kwa ufasaha
• Kuandika kwa usahihi
• Kujieleza kwa ujasiri katika kazi, biashara na mawasiliano
• Kuongeza mvuto na hadhi ya kimataifa

Muda wa Masomo:

🕒 Saa 11:00 alfajiri – 4:00 usiku
📌 Mafunzo yote ni mtandaoni

🌟 Usikose nafasi!

Huu ndio muda wako wa kujiwekea msingi wa mafanikio ya kimataifa.
Jisajili sasa — nafasi ni chache!

📞 Wasiliana nasi:
+255 758 787 665

Overview